406315514 910305993788666 6604682341346081537 n

Pacome,Aucho Wagombea Tuzo Novemba

Mastaa wa klabu ya Yanga sc Khalid Aucho,Pacome Zouzou na Clement Mzize wameingia katika kinyang’anyiro cha kuwania mchezaji bora wa mwezi wa klabu ya Yanga sc inayodhaminiwa na Shirika la Bima la Taifa (NIC). Tuzo hiyo hufanyika kila mwezi ambapo mchezaji aliyefanya vizuri kushinda wengine klabuni hapo hupata tuzo hiyo ambapo mshindi huyo hupata kiasi…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks