Gamondi Amzuia Nzengeli Kusepa
Kocha mkuu wa klabu ya Yanga sc Miguel Gamondi amezuia uwezekano wa staa wa klabu hiyo Maxi Nzengeli kuondoka klabuni hapo kujiunga na timu ya Kaizer Chiefs ambayo imeonyesha nia ya wazi kumsajili nyota huyo baada ya kuvutiwa na kiwango chake katika mchezo dhidi ya Fc Augusburg ya nchini Ujerumani. Mabosi wa Kaizer baada ya…
