Yanga Sc imekamilisha usajili wa winga wa Tabora United Offen Chikola - sportslwo.co.tz

Yanga Sc Yamalizana na Chikola

Klabu ya Yanga Sc imekamilisha usajili wa winga wa Tabora United Offen Chikola kuelekea msimu ujao wa ligi kuu na michuano ya Kimataifa 2024-2025. Baada ya majadiliano ya pande mbili Yanga Sc wamemalizia vitu kadhaa na Tabora United Fc ambapo tayari Offen Chikola amesaini mkataba wa kuitumikia klabu hiyo. Kiwango bora alichoonyesha  msimu huu uliomalizika…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks