Onana Aondoka Simba Sc
Klabu ya Simba Sc imetangaza kuachana na mshambuliaji Leandre Willy Esomba Onana baada ya kufikia makubaliano baina ya pande zote mbili kuachana kwa maslahi yao wote. Onana aliyesajiliwa na Simba sc akitokea klabu ya Rayon Sports ya Rwanda ambapo aliibuka mfungaji bora msimu wa 2022/2023 na kuwavutia mabosi wa Simba Sc walioamua kuvunja benki kumsajili….
