Kocha mkuu wa klabu ya Orlando Pirates Mandla Ncikazi amepewa barua ya onyo na shirikisho la soka barani Afrika (Caf) kufuatia kauli alizozitoa kwa waandishi wa habari baada ya mchezo …
orlando pirates
-
-
Klabu ya Simba sc imepigwa faini ya kiasi cha dola 10000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 23 za kitanzania kwa kuonyesha vitendo vya kishirikina katika mchezo wa robo fainali …
-
Pamoja na kwamba imetolewa katika michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika wadau wamichezo nchini wameipongeza klabu ya Simba sc kwa kuonyesha kiwango kikubwa katika mchezo wa hatua ya robo …
-
Klabu ya Simba sc imewasili kibabe nchini Afrika ya kusini kuelekea katika mchezo wa hatua ya robo fainali ya kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya Orlando Pirates utakaofanyika nchini …
-
Kufuatia kufungwa 1-0 na klabu ya Simba sc katika mchezo dhidi ya Orlando Pirates ambapo Kocha wa Klabu hiyo Mandla Ncikazi aliituhumu klabu ya Simba sc kwa kutumia mbinu chafu …
-
Viongozi wa klabu ya Simba sc katika kuelekea mechi ya hatua ya robo fainali ya kombe la shirikisho dhidi ya Orlando Pirates ya Afrika ya kusini walikua na jitihada za …
-
Mchezo wa hatua ya robo fainali kati ya Simba sc dhidi ya Orlando Pirates utakaofanyika nchini Aprili 17 katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam utafungwa mitambo ya …
-
Klabu ya Yanga imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji Bernard Morrison kutoka nchini Ghana mwenye miaka 26 akitokea Orlando Pirates ya nchini Afrika ya kusini. Morisson anakuwa usajili wa kwanza wa …