“Kitaalamu Zaidi” Pacome Day
Klabu ya Yanga sc imeitambulisha siku ya Jumamosi Februari 24 kuwa itakua siku ya mchezaji Pacome Zouzou ambapo kutakua na mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Cr Belouzdad utakaofanyika katika uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es salaam. Katika kuendeleza hamasa ya mchezo huo ambao utakua maalumu kwa ajili ya staa huyo kama ilivyoutaratibu…
