Lebo: Pacome Zouzoua
Mabosi Yanga Sc Wamalizana na Pacome,Maxi
Mabosi wa klabu ya Yanga sc wamefanya haraka kumaliza mazungumzo ya kuongeza mikataba mipya kwa mastaa wake wawili Pacome Zouzoua na Maxi Nzengeli ambao mikataba yao inaelekea ukingoni mwishoni mwa msimu huu. Mastaa hao walikua na mikataba ya miaka miwili walipojiunga na kikosi hicho msimu 2023-2024 ambapo Maxi alisajiliwa akitokea Maniema Union ya Dr Congo…
