Yanga Sc Yatwaa Kombe La Mapinduzi 2026
Katika usiku wa kihistoria uliojaa hisia kali za ushindani, klabu ya Young Africans SC (Yanga) imeibuka na ubingwa wa Kombe la Mapinduzi 2026 baada ya kushinda Azam FC kwa mikwaju ya penalti 5β4, katika mchezo wa fainali uliochezwa Jumanne, Januari 13, 2026, kwenye Uwanja wa Gombani, Pemba. Fainali hiyo iliyokuwa na mvuto wa hali ya…
