Phiri Atua Dynamos
Aliyekua mshambuliaji wa klabu ya Simba Sc Moses Phiri amejiunga na Power Dynamos ya Zambia kwa mkataba wa miaka miwili baada ya kumalizana na klabu ya Simba sc aliyoitumikia kwa misimu miwili kabla ya kocha Abdelhack Benchika kuamua kuachana nae. Mshambuliaji huyo alikuwa akiichezea timu hiyo aliyojiunga nayo kwa mkopo Januari 16, mwaka huu akitokea…
