Awesu Atua Polisi FC ya Kenya
Kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Awesu Awesu, ametambulishwa rasmi na mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Kenya, Kenya Police FC, kama mchezaji wao mpya katika dirisha hili la usajili, hatua inayomfungulia ukurasa mpya wa taaluma yake ya soka nje ya mipaka ya Tanzania. Awesu amejiunga na Kenya Police FC akitokea Simba SC kwa mkataba wa…
