Screenshot 20241015 100830 Instagram

Dube Atupia Zimbabwe Ikishinda 3-1

Mshambuliaji wa klabu ya Yanga sc Prince Mpumelelo Dube amesaidia nchi yake ya Zimbabwe kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Namibia ikiwa katika kutafuta nafasi ya kufuzu michuano ya mataifa ya Afrika yatakayofanyika mwakani nchini Algeria. Musona ⚽⁵⁰’ ⚽⁶1′ (Penati) Dube ⚽⁸⁹’ Eiseb ⚽⁹⁰’ Katika Mchezo huo mabao ya Zimbabwe yalifungwa na mshambuliaji…

Soma Zaidi
452519666 1049574503195147 15797334985212828 n

Dube Aitwa Timu ya Taifa Zimbabwe

Mshambuliaji wa klabu ya Yanga sc Prince Mpumelelo Dube ameitwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Zimbabwe ijayojiandaa na michezo ya kuwania kufuzu michuano ya mataifa ya Afrika mwaka 2025 dhidi ya Kenya na Cameroon. Kocha Michael Nees amemjumuisha Dube katika kikosi hicho baada ya staa huyo kuonyesha kiwango bora sana tangu ajiunge na…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks