Lebo: Rais Samia
Samia Achangia Mil.500 Stars
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan amechangia jumla ya kiasi cha Tsh.milioni mia tano kwa ajili ya kusaidia timu za Taifa za michezo mbalimbali ambayo zitakua zinashiriki kimataifa. Timu hizo zinajumuisha timu za Taifa za michezo mbalimbali ikiwemo soka kwa wanawake na wanaume,Kikapu,Riadha,soka la ufukweni,mpira wa walemavu na nyinginezo ambazo zitapata…
Mamilioni ya Samia Yatua AFL
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa zawadi ya Tsh.10 milioni kwa kila goli ambalo Simba sc watafunga katika mchezo dhidi ya Al Ahly ambao utachezwa siku ya Ijumaa Oktoba 20, 2023 saa 12:00 jioni katika Uwanja wa Mkapa. Ahadi hiyo ya Rais Samia imetolewa na katibu mkuu…
