Lebo: Ramovic
Mzize,Ramovic Watwaa Tuzo
Mshambuliaji wa klabu ya Yanga Sc Clement Mzize amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa ligi kuu kwa mwezi Disemba akiwashinda Prince Dube wa Yanga sc na Feisal Salum wa Azam Fc. Mzize katika mechi nne alizoichezea Yanga sc amefunga goli nne na kuhusika kwenye magoli matatu ambapo kwa ujumla akiwa amehusika katika magoli saba na kuisaidia…
