Robertinho Kutimka Rayon Sc
Aliyewahi kuwa kocha wa klabu ya Simba Sc Roberto Oliveira (Robertinho) ambaye hivi majuzi alisimamishwa kazi na Rayon Sports kwa sababu za kimatibabu, amewasilisha malalamiko kwa Chama cha soka cha Rwanda (FERWAFA) akitaka kulipwa Dola za Kimarekani 20,000 ambayo ni mshahara wa miezi minne. Kocha huyo aliugua na kulazimika kusimamishwa kazi ili akaweke afya yake…
