Simba Sc Yapoteza Cafcc
Klabu ya Simba Sc imepoteza mchezo wa fainali ya pili ya michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika baada ya kukubali sare ya 1-1 dhidi ya Klabu ya Rs Berkane katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa Amaani Visiwani Zanzibar. Awali katika mchezo wa kwanza uliofanyika katika uwanja wa Manispaa ya mji wa Berkane ilishuhudiwa Simba…
