Neymar Jorge Jesus Al Hial F365

Neymar Atemana na Waarabu

Mshambuliaji Neymar Dos Santos yupo mbioni kuachana na klabu yake ya Al Hilal Fc ya nchini Saudi Arabia kwa makubaliano ya pande mbili kutokana na kuandamwa na majeraha ya mara kwa mara. Fowadi huyo supastaa alihamia kwenye Saudi Pro League akitokea Paris Saint-Germain mwaka 2023 na alisaini mkataba uliokuwa ukimshuhudia akilipwa Pauni 2.5 milioni kwa…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks