397965546 18382223965071034 2942539979883463448 n

Simba Sc Yalamba Udhamini 1.5b

Klabu ya Simba sc imefanikiwa kuingia makubaliano na kampuni ya bia ya Serengeti ya udhamini kupitia kinywaji cha Prisner Lager kwa muda wa miaka mitatu wenye thamani ya pesa za kitanzania shilingi bilioni moja na nusu. Katika udhamini huo kampuni hiyo itatumia nembo na picha za wachezaji wa klabu hiyo katika matangazo yake ambapo itafaidika…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks