IMG 20250611 WA0176

Ibrahimovic Atua Nchini

Nyota wa zamani wa Manchester United,Psg na Ac Milan Zlatan Ibrahimovic yupo nchini Tanzania kwa ajili ya kutembelea vivutio mbalimbali vya utalii vinavyopatiakana hapa nchini. Zlatan amechapisha picha kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Instagram akiwa eneo la Kogatende kwenye hifadhi ya Taifa ya Serengeti nchini Tanzania eneo ambalo ni kitovu cha uhamaji wa wanyama…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks