Uwanja wa Benjamin Mkapa Wafungwa Rasmi Machi 2026 kwa Ukarabati wa AFCON 2027-www.sportsleo.co.tz

Uwanja wa Benjamin Mkapa Wafungwa Rasmi Machi 2026 kwa Ukarabati wa AFCON 2027

Uwanja wa Benjamin Mkapa wafungwa rasmi kuanzia Machi 2026 kwa ukarabati mkubwa kuelekea AFCON 2027. Serikali ya Tanzania yaanza maboresho ya pitch, miundombinu na teknolojia za kisasa. Jedwali la Maudhui Uwanja wa Benjamin Mkapa Wafungwa Rasmi Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetangaza rasmi kuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa wafungwa kuanzia mwezi Machi 2026…

Soma Zaidi
Screenshot 20250613 095816 Instagram

Serikali Yaongeza Kodi Kwenye Mikeka

Serikali imeongeza kiwango cha kodi kwa washindi wa michezo ya kubashiri (Betting) kwenye bajeti ya serikali kuu iliyosomwa jana bungeni ili kuongeza mapato kwa serikali. Waziri wa Fedha Dkt.Mwigulu Nchemba amesema kuwa  Ongezeko la kiwango hicho cha fedha kitakachopatikana, asilimia 70 itaenda katika mfuko wa serikali kupambana na Ukimwi na asilimia 30 kuchangia mfuko wa…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks