Azam Fc,Sillah Ngoma Ngumu
Mabosi wa klabu ya Azam Fc wanahaha kumpa mkataba mpya kiungo mshambuliaji wa klabu hiyo Gibril Sillah ambaye mpaka sasa pamoja na kupewa ofa hiyo bado hajaisaini. Sillah aliyejiunga na Azam Fc kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Wydad Athletic ya nchini Morocco ambapo mkataba wake utafikia tamati Juni 30 2025 na mabosi wa Azam…
