Bodi Yagomea Alama Tatu za Yanga sc
Bodi ya Ligi Kuu imeijibu barua iliyoandikwa na klabu ya Yanga sc ambayo ilikuwa inataka ipewe alama 3 na mabao 3 kwenye mchezo ulioahirishwa wa tarehe 8 Machi,2025 dhidi ya Simba Sc. Yanga ilitaka ipewe alama hizo baada ya bodi ya ligi kuahirisha mchezo huo dhidi ya Simba Sc licha ya klabu hiyo kama mwenyeji…
