Song Akalia Kuti Kavu Cameroon
Baada ya kukubali kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Nigeria katika michuano ya mataifa ya Afrika (Afcon 2024) katika hatua ya 16 bora kocha wa timu ya Taifa ya Cameroon Rigobert Song amekalia kuti kavu kuendelea kuifundisha timu hiyo. Mashabiki wengi nchini humo wameonyesha kutoridhishwa na kiwango cha timu hiyo na hivyo kusababisha kulalamika wakimlaumu…
