Bafana Bafana Hali Tete
Timu ya Taifa ya Afrika kusini maarufu kama Bafana Bafana ilishindwa kufanikiwa kuwafunga timu ya Taifa ya Niger katika mchezo wao wa pili wa kundi D wa Kombe la Mataifa ya Afrika (CHAN) baada ya kupata sare ya 0-0 ambayo inaweza kuwa na matokeo mabaya kwa malengo yao ya kufuzu hatua ya robo fainali ya…
