447833276 1019338326218765 241502591018232188 n

SportsPesa Yakabidhi Mamilioni Yanga Sc

Kampuni ya Michezo ya Kubashiri ya Sportspesa imekabidhi hundi ya kiasi cha shilingi za Kitanzania 537,500,000 ikiwa ni sehemu ya Bonasi za klabu hiyo kutokana na kufanya vizuri katika msimu huu wa ligi kuu na michuano ya kimataifa. Kampuni hiyo ambayo ilisaini mkataba wa udhamini na klabu hiyo wenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks