Stars,Morroco Hapatoshi B/mkapa
Timu ya Taifa ya soka nchini “Taifa Stars” kesho itakua na kibarua kigumu katika mchezo wa kuwania kufuzu fainali za kombe la Dunia kwa kundi E dhidi ya Morroco utakaofanyika katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam. Stars tayari ina alama tatu mkononi baada ya kufanikiwa kumfunga Niger ugenini hivyo wanahitaji kuwafunga Morroco…
