Taifa Stars Yainyuka Mauritania 1-0 CHAN 2024
Taifa Stars Yainyuka Mauritania 1-0 Timu ya Taifa ya Tanzania, maarufu kama Taifa Stars, imeendeleza makali yake katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN) 2024. Katika mchezo wao wa pili wa kundi B uliochezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, Taifa Stars yainyuka Mauritania 1-0 na kujiweka…
