Mastaa Tabora United Wagoma Kusafiri Tanga
Hali ni tete katika kambi ya timu ya Tabora United kufuatia mastaa wa timu hiyo kutishia kugomea mchezo wa mwisho wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union mpaka pale madai yao ya mishahara yatakapolipwa. Kikosi cha Tabora United kilipaswa kusafiri juni 20 2025 asubuhi kuelekea Tanga kwa ajili ya mchezo wa mwisho dhidi ya Coastal…
