Al Ahly Wafanya Kufuru kwa Tau
Mazungumza ya kuongeza mkataba mpya baina ya klabu ya Al Ahly na mshambuliaji Percy Tau yamefikia pazuri ambapo staa huyo anatarajiwa kusaini mkataba mpya wa kuendelea kukipiga klabuni hapo kwa miaka mitatu mingine huku akitarajiwa kuwa mchezaji anayelipwa zaidi barani Afrika. Katika mkataba huo mpya Tau atakua anatia mfukoni Mshahara wa dola milioni 5.13 katika…
