Simba Sc Waifunga Tembo Fc
Timu ya Simba sc imefanikiwa kuingia hatua ya 32 bora ya michuano ya kombe la Shirikisho la Azam baada ya kufanikiwa kuifunga timu ya Tembo Fc mabao 4-0 katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa Chamazi jijini Dar es salaam. Simba sc ikianza na mastaa wengi wageni sambamba na wale ambao huwa hawapati nafasi mara kwa…
