Tepsie Kusalia Azam Fc mpaka 2026
Klabu ya Azam Fc imeamua kumuongezea mkataba mchezaji wake Tepsie Evance kusalia kwenye viunga vya Azam Complex hadi mwaka 2026 baada ya kuongeza mkataba mpya wa mwaka mmoja katika ule wa awali uliokua unaisha mwaka 2025. Tepsie ambaye ni zao halisi la akademi ya klabu hiyo amerejea klabuni hapo msimu huu baada ya kumaliza muda…
