Lebo: tetesi za usajili barani ulaya
Ferland Mendy Haondoki Real Madrid
Ferland Mendy, beki wa kushoto mwenye umri wa miaka 29, ameweka wazi azma yake ya kusalia Real Madrid na kupigania nafasi yake katika kikosi cha kwanza cha Xabi Alonso. Hii inakuja licha ya msimu uliopita kukumbwa na majeraha ya mara kwa mara na ujio wa wachezaji wapya kama vile Álvaro Carreras, anayetarajiwa kuongeza ushindani katika…
