FB IMG 1739298753715

Walibya Watua kwa Fabrice Ngoma

Kiungo wa klabu ya  Simba Sc Fabrice Ngoma amefikia makubaliano binafsi ya kujiunga na klabu ya Al-Ittihad Tripoli ya Libya. Tayari staa huyo amepokea ofa nono ya Mshahara na dau la usajili  (Sign-on fee) kutoka Al-Ittihad na tayari amesema ndio ambapo sasa imebaki kwa Simba sc kukubali uhamisho huo. Kilichobaki ni makubaliano kati ya Simba…

Soma Zaidi
Screenshot 20250110 150535 Instagram

Azam Fc Yasajili Mashine Mpya

Timu ya Azam FC imekamilisha usajili wa beki raia wa Ivory Coast Zouzou Landry akitokea katika klabu ya Afad Djekanou ya nchini humo. Zouzou mwenye umri wa miaka 23, anamudu kucheza beki ya kati (LCB) na beki ya kushoto (LB), amesaini mkataba wa miaka minne kuwepo kwenye viunga vya Azam Complex hadi mwaka 2028. Kocha…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks