Lebo: Tff Tanzania
Yanga Sc Yaigomea TFF
Klabu ya Yanga sc imeendelea na msimamo wake wa kuhitaji fedha zake za ubingwa wa Kombe la shirikisho la Crdb nchini kwa misimu mitatu mfululizo licha ya kuitwa na shirikisho la soka nchini (TFF) kwa ajili ya kikao. Mapema hivi leo mtendaji mkuu wa klabu hiyo Andre Mtine alifika katika ofisi za Shirikisho hilo akiwa…
Serikali Yajiweka Pembeni Sakata la Derby
Serikali kupitia kwa Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma imesema kuwa haiwezi kuingilia mgogoro unaoendelea kuhusu mechi ya Darby kati ya Simba na Yanga kutokana na kuwepo mamlaka inayosimamia soka nchini ambayo ni Shirikisho la soka (TFF) Mwinjuma amesema hayo bungeni jijini Dodoma mapema hii leo wakati akijibu swali la nyongeza la…
TFF Yawaita Yanga Sc Kukagua Madeni
Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) limetoa ufafanuzi kuhusu madai ya klabu ya Yanga sc kuhusiana na fedha za zawadi ya ubingwa wa Kombe la Shirikisho la CRDB kwa msimu uliopita. TFF imelazimika kutoa taarifa hiyo kutokana na madai ya klabu ya Yanga sc kupitia msemaji wao Ally Kamwe aliyedai kuwa klabu hiyo haijalipwa…
Karia Awalinda Mastaa wa Kigeni
Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu nchini (TFF) Wallace Karia ametolea ufafanuzi suala la wachezaji wa kigeni na kueleza kuwa wachezaji wa kigeni wameongeza ushindani kwenye ligi yetu na kuchangia kukua kwa viwango vya wachezaji wa ndani Rais Karia amesema haya mapema hii leo wakati akizungumza katika tukio la Uzinduzi wa vifaa vipya vya…
