Tunisia Yaanza AFCON 2025 kwa Kishindo, Yaifunga Uganda 3–1 Rabat
Timu ya taifa ya Tunisia, maarufu kama Carthage Eagles, imeanza vyema safari yake ya michuano ya TotalEnergies CAF AFCON Morocco 2025 baada ya kuibuka na ushindi wa bao 3–1 dhidi ya Uganda katika mchezo uliochezwa Jumanne jioni kwenye Uwanja wa Annex Olympic, uliopo ndani ya Prince Moulay Abdellah Sports Complex mjini Rabat. Kwa kuonesha soka…
