Kapu la Mama Laifikia Twiga Stars
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sana na Michezo Mh.Gerson Msigwa ameikabidhi timu ya Twiga Stars kitita cha Sh. Milioni 10 zilizotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kufuatia ushindi waliopata dhidi ya timu ya Ivory Coast uliowawezesha kufuzu michuano ya WAFCON 2024. Akikabidhi fedha hizo, Katibu Mkuu Bw….
