Pambano la Joshua na Fury Lipo Mashakani Baada ya Ajali ya Gari Nigeria
Pambano kubwa la ndondi duniani kati ya Anthony Joshua na Tyson Fury, lililokuwa likitarajiwa kufanyika mwakani, huenda likafutwa au kuahirishwa kufuatia ajali mbaya ya gari iliyomhusisha bondia Anthony Joshua nchini Nigeria. Ajali hiyo imetokea jana Jumatatu, Desemba 29, kwenye barabara kuu ya Lagos–Ibadan, na kusababisha vifo vya watu wawili waliokuwa wakisafiri naye. Kwa mujibu wa…
