Yanga Sc Mabingwa Crdb Cup
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kuchukua ubingwa wa kombe la shirikisho la Crdb nchini baada ya kuifunga timu ya Singida Black Stars kwa mabao 2-0 katika mchezo uliofanyika Visiwani Zanzibar katika uwanja wa New Amaani Complex. Mchezo huo uliokua na burudani ya kutosha kutokana na kasi ya mchezo ulikua mgumu kutabiri nani ataibuka na ushindi…
