Okello Apewa Medali Uganda

Okello Apewa Medali Uganda

Okello apewa medali Uganda baada ya mchango wake mkubwa katika ubingwa wa Vipers SC. Fahamu takwimu zake, namna medali ilivyokabidhiwa na athari zake kwa Yanga na dabi ya Kariakoo. Okello Apewa Medali Uganda Rasmi Kiungo mshambuliaji wa Yanga SC, Allan Okello maarufu kama “Star Boy”, amepewa rasmi medali ya ubingwa wa Ligi Kuu ya Uganda…

Soma Zaidi
𝐒𝐓𝐀𝐑 𝐁𝐎𝐘 amefika⭐️👦🏾@allanokello8 timuyawananchi daimambelenyumamwiko

Yanga Sc Yamtambulisha Okelo

Klabu ya Yanga Sc imethibitisha rasmi kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda, Allan Okello (25), kwa mkataba wa miaka miwili na nusu utakaomalizika Juni 30, 2028, hatua inayotafsiriwa kama ushindi mkubwa katika dirisha la usajili huku ikionyesha dhamira ya klabu hiyo kuendelea kutawala soka la ndani na kufanya vizuri kimataifa. Okello anajiunga…

Soma Zaidi
Waandaaji Watolewa CHAN 2024 - sportsleo.co.tz

Waandaaji Watolewa CHAN 2024

Waandaaji Watolewa CHAN 2024 Kenya, Tanzania, na Uganda Mbio zao Kihistoria Zafikia Kikomo Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (CHAN) PAMOJA 2024 yamewashuhudia vigogo wa soka kutoka Afrika Mashariki, Kenya, Tanzania, na Uganda, wakiondolewa katika hatua ya robo fainali, pamoja na Algeria. Ingawa makocha wao na mashabiki walitamani kuona timu hizi zikiendelea, mchango wao…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks