Lebo: usajili yanga sc
Usajili Yanga Sc 2025/2026
Usajili Yanga Sc 2025/2026: Mikakati na Mashine Mpya Zitakazotikisa Afrika Msimu mpya wa 2025/2026 unanukia, na klabu bingwa ya Tanzania, Young Africans Sports Club (Yanga SC), imeweka wazi dhamira yake ya kuendeleza utawala wake wa soka la Bongo na hatimaye kuvuka mipaka ya Afrika. Baada ya msimu wa 2024/2025 wenye mafanikio makubwa kwa kunyakua mataji…
Yanga Sc Yakubali Kumuuza Mzize (21)
Yanga Sc Yakubali Kumuuza Mzize Klabu ya Yanga sc imekubali dau la takribani bilioni mbili za kitanzania ili kumuuza mshambuliaji Clement Mzize kwenda klabu ya Al Sadd inayoshiriki ligi kuu ya soka nchini Qatar. Mabosi wa Yanga sc baada ya kugomea ofa kadhaa za kumuuza mchezaji huyo ikiwemo ofa mbili kutoka klabu za Al Ittihad…
Mohamed Hussein Tshabalala Asajiliwa Yanga SC!
Mohamed Hussein Tshabalala asajiliwa Yanga: Vilio kariakoo Klabu ya Yanga SC imezua gumzo kubwa katika ulimwengu wa soka la Tanzania kwa kumtambulisha beki wa kushoto mwenye uzoefu mkubwa, Mohamed Hussein ‘Tshabalala’, kama mchezaji wao mpya. Ujio wa Tshabalala, ambaye pia anafahamika kwa jina la utani ‘Zimbwe Junior’, ni habari iliyowashtua wengi na kuleta msisimko mkubwa…
Usajili Waliofanya Yanga Sc 2025/2026
Usajili Waliofanya Yanga Sc 2025/2026: Mikakati na Mashine Mpya Zitakazotikisa Afrika Msimu mpya wa 2025/2026 unanukia, na klabu bingwa ya Tanzania, Young Africans Sports Club (Yanga SC), imeweka wazi dhamira yake ya kuendeleza utawala wake wa soka la Bongo na hatimaye kuvuka mipaka ya Afrika. Baada ya msimu wa 2024/2025 wenye mafanikio makubwa kwa kunyakua…
