Kaizer Chiefs Yakomaa na Feisal
Uongozi wa Kaizer Chiefs utajaribu kutimiza ndoto za mashabiki wao kwa kumpata Feisal Salum kutoka klabu ya Azam Fc licha kuwa mchezaji huyo ana ofa nyingi ndani na nje ya nchi. Mashabiki wa Kaizer Chiefs wanaamini Feisal ni mchezaji sahihi kwao ambaye anaweza kuirudisha timu yao katika hadhi ya kimataifa, Kaizer wanataka kutengeneza timu kupitia…
