408806075 18388865938071034 3951531137946120985 n

Benchika Atinga Tatu Bora

Kocha wa mpya wa Simba Sc Abdelhak Benchikha ameingia katika orodha ya makocha watatu bora wanaowania tuzo za CAF 2023 ambazo zitafanyika Jumatatu Desemba 11 jijini Marakechi nchini Morocco. Kocha huyo amefanikiwa kuingia katika hatua ya fainali akishindana na Walid Regraui ambaye ni kocha wa timu ya Taifa ya Morocco na Alidu Cisse ambaye ni…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks