FB IMG 1723966954217

Vital O Yapigwa 4G

Klabu ya soka ya Vital O kutoka nchini Burundi imekubali kipigo cha mabao 4-0 kutoka kwa Yanga sc katika mchezo wa kwanza wa hatua ya awali dhidi ya Yanga sc uliofanyika katika uwanja wa Azam Complex Chamazi jijini Dar es Salaam. Yanga sc ilianza kupata bao la kwanza mapema dakika ya 6 likifungwa kiufundi na…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks