Screenshot 20250213 203712 Instagram

Waziri Jr Atua Iraq

Mshambuliaji wa timu ya Dodoma Jiji Fc Wazir Jr Shentembo amejiunga na Al Mina’a FC inayoshiriki Ligi Kuu ya nchini Iraq akiungana na Mtanzania Simon Msuva anayekipiga katika timu ya Al Talaba.   Wazir Jr ambaye aliwahi kukipiga Yanga 2020/21 pamoja na klabu za Mbao Fc na Kmc amesaini mkataba wa miezi sita kujiunga na…

Soma Zaidi
waziri pic

Waziri Jr Atimkia Dodoma Jiji

Mshambuliaji Waziri Junior ameisaini katika klabu ya Dodoma Jiji FC kwa mkataba wa mwaka mmoja akitokea KMC FC ambapo amemaliza mkataba wake msimu huu ulioisha wa ligi kuu. Awali Pamba Jiji FC ilionesha nia ya kumsajili Waziri Junior na ikamtumia hadi nauli ya kwenda jijini Mwanza kusaini mkataba wa Pamba Jiji FC ila hakwenda na…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks