453072012 18445811140052678 6386589459006352826 n

Azam Fc Kukipiga na Wydad

Klabu ya Azam Fc usiku wa leo itaingia uwanjani katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Wydad Casablanca ya nchini Morocco mchezo utakaofanyika katika mji wa Benslimane nchini humo ikiwa ni mchezo wa kwanza mgumu kwa Azam Fc. Azam Fc ambao juzi kulazimishwa sare ya 1-1 na Union Touarga,watakua na kazi ngumu ya kukabiliana na Wydad…

Soma Zaidi
412327257 18391010512071034 2235835202813872584 n

Onana Aing’arisha Simba Sc

Winga wa klabu ya Simba sc Leandre Willy Onana ameing’arisha klabu hiyo katika michuano ya klabu bingwa barani Afrika baada ya kuipatia alama tatu muhimu katika mchezo dhidi ya Wydad Athletics uliofanyima katika uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es salaam. Onana katika mchezo ambao alianza kama winga wa kushoto alifunga mabao mawili muhimu na…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks