Xavi Akubali Yaishe Barcelona
Kocha wa timu ya Barcelona Xavi Hernandez amekubali kuachia ngazi kuifundisha timu hiyo mwishoni mwa msimu huu hasa baada ya kukubali kipigo cha mabao 5-3 kutoka kwa Villareal katika michuano ya ligi kuu nchini humo. Kocha huyo ambaye alikua staa wa zamani wa kikosi cha Barcelona alipewa nafasi ya kuinoa timu hiyo kukiwa na matarajio…
