Screenshot 20250618 104719 Instagram

Yacouba Aishtaki Tabora United

Kungo mshambuliaji raia wa Burkina Faso Yacouba Songne ameifungulia mashtaka kwa shirikisho la soka nchini (TFF) klabu yake ya Tabora United kisa madai ya mishahara anayodai ya miezi 4 pamoja pesa ya usajili iliyosalia kwenye usajili wake. Mshambuliaji huyo wa zamani wa Yanga sc kwa sasa ameanza mazoezi akitokea katika kipindi kirefu cha kuuguza jeraha…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks