aucho1

Aucho Afungiwa Mechi 3

Kiungo wa Yanga Sc Khalid Aucho amefungiwa mechi tatu na faini ya laki tano kwa kosa la kumpiga kiwiko nyota wa Coastal Union Ibrahim Ajibi katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania bara uliozikutanisha Klabu hizo hivi karibuni. Katika mchezo huo ambao Yanga sc iliibuka na ushindi wa 1-0 staa huyo alikutwa na kosa hilo ambapo…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks