Pedro Gonçalves Afunguka: Sababu za Kumsajili Buba Jammeh Yanga SC

Kocha Mkuu wa Young Africans SC (Yanga SC), Pedro Gonçalves, ameweka wazi kuwa usajili wa Buba Jammeh haukuwa wa bahati mbaya bali ulifanyika kwa mapendekezo yake binafsi kutokana na kumfahamu mchezaji huyo kwa muda mrefu alipokuwa akifanya kazi ya ukocha nchini Angola. Akizungumza na Mwananchi Digital, Pedro amesema kuwa Jammeh ni miongoni mwa wachezaji aliokuwa…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks