Yanga SC Yatwaa Ubingwa: Yanga Waandika Historia kwa Kutwaa Taji la 32 la Ligi Kuu Tanzania Bara
Yanga SC yatwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2025/26 baada ya kuichapa JKT Tanzania mabao 3-0. Soma jinsi Yanga walivyoweka rekodi mpya kwa kutwaa ubingwa wa tano mfululizo na kufikisha mataji 32 ya ligi. Yanga SC Yatwaa Ubingwa Rasmi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga SC yatwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu…
