Yao Kouasi Nje Wiki Sita
Mlinzi wa Kulia klabu ya Yanga Sc Yao Kouassi Attouhoula atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa wiki nne mpaka sita akiuguza majeraha ambayo yanamkabili. Yao anasumbuliwa na matatizo ya mguu wake wa kulia hali ambayo imemfanya kukosa michezo kadhaa ya ligi kuu na michuano ya Kimataif. Meneja wa habari na mawasiliano wa Young Africans,Ali…
